Msanii mkongwe nchini Marekani, NE YO, Kutumbuiza
kwenye moja ya Tamasha kubwa jijini mwanza.
Tamasha hilo litashushwa na kituo cha Radio , JEMBE
FM. Tukio ili litakuwa ni mara ya tatu kwa msanii huyo kuja Afrika mashariki,
ambazo ni Kenya, Uganda na sasa ni Tanzania.
Msanii mkubwa wa Tanzania Diamond Platnum naye
anatakuwa mmoja wa wasanii watakao tumbuiza siku hiyo, kikubwa kuwa hawa
wasanii wameshafanya kazi ya pamoja.
0 maoni:
Post a Comment