MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JAPAN KUKUZA VYAKULA KWENYE MCHANGA BANDIA

Wakulima katika mji wa Fukushima Japan eneo lililoathirika na kuyeyuka kwa tanuri ya nyuklia mwaka wa 2011 wamegundua njia mbadala ya kukuza mazao,,,,wakitumia mchanga bandia!
Katika Jaribio la kwanza katika wilaya ya Ojima mimea 2,000 aina ya 'ornamental anthurium' ilimea kwa njia nzuri na kuwaridhisha watafiti, jarida la Asahi Shimbun limeripoti.
Wilaya hiyo ya Ojima iliyoko takriban kilomita 50 kutoka kiwanda kilichoathirika vibaya zaidi cha nyuklia cha Fukushima Daiichi.
Kiwanda hicho kiliyeyuka baada ya tetemeko kubwa la ardhi kukumba eneo hilo na kusababisha mafuriko

Chanzo BBC Swahili
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment