Mkufunzi wa Elimu ya Habari katika
chuo cha DSJ na Baadae Raida School Of
Journalism, Mwalimu KIMOTA, amefariki dunia.
Wadau wa Habari nchini wamepata pigo kwa kupoteza
mmoja kati ya wadau wakubwa katika Nyanja ya Habari nchini haswa katika upande
wa mambo ya picha mwendo na picha mnato.
Wanafunzi wote waliofundishwa na mwalimu huyu nazani
mtakuwa mmepoteza mtu muhimu katika mambo ya production. R.I.P #KIMOTA.
0 maoni:
Post a Comment