MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TRUMP AAHIDI KUVUNJA MKATABA WA NYUKLIA

Republican
Mgombea Urais katika chama cha Republican nchini Marekani, Donal Trump, amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais hatua ya kwanza atakayochukua juu ya masuala ya kigeni ni kuvunjilia mbali mkataba wa nyuklia.
§  Mkataba huo ambao Trump anauzungumzia na kukerwa nao ni ule wa Marekani na Iran.
§   
§  Ushindi wa Trump ni hatari kwa dunia
 Bw Trump, ambaye kwa sasa yuko mstari wa mbele katika kinyang'anyiro hicho katika chama chake aliliambia kundi lenye ushawishi mkubwa linalounga mkono Israel kuwa mapatano hayo ya Iran ni hatari kwa Marekani.
Amesema pamoja na madhara kwa Marekani lakini pia unaweza kuihatarisha Israel na Mashariki ya Kati.


Kutoka BBC Swahili
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment