MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

YOUNG DEE, YAMTOKA MANENO HAYA BAADA YA "BABU TALE" KU-POST VIDEO YA CHIDI BENZ

Kuna mambo yanaendelea kupitia mtandao wa Instagram, mara baada ya Babu Tale kupost video akiwa na rapper Chid Benz, ambaye kwasasa hayuko poa kiafya kufuatia matumizi ya Madawa ya kulevya.

 


Video hiyo imeonesha kustua watu wengi na kuamsha hisia za wadau wa muziki, lakini kwa upande wa Rapper mwengine ambaye ni Young Dee, yeye amechukulia kivingine video hiyo, na haya ni yamoyoni kutoka kwa Young Dee,


Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’ – Young Dee
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment