KITIMTIMU MUHIMBILI CHAWAPA JOTO MA-INTERN”
Wizara ya Afya na ustawi wa Jamii imetoa siku 7 kwa
madaktari
Wa mafunzo kwa vitendo [INTERNS] Kupeleka barua za
kujieleza
Kwanini wameshiliki kwenye mgomo .
Sharti hilo
wamepewa jana na naibu katibu mkuu wa wizara hiyo
Wakati mamia ya madaktari hao walipoitikia wito wa
kwenda
Wizarani hapo.
0 maoni:
Post a Comment