Zaidi ya watu milioni mbili nchini
Nigeria waliathirika kutokana na mafuriko na hivyo kulazimika kutoroka makwao
mwaka huu
Idara ya kukabiliana na majanga
nchini humo,(Nema) inasema kuwa mvua kubwa zilisababisha vifo vya watu 363
tangu mwezi Julai.
Hayo ndiyo yalikuwa mafuriko mabaya
zaidi katika miaka hamsini kuwahi kutokea nchini humo na yameathiri maeneo
mengi ya nchi hasa maeneo yaliyo katika mto Niger.

0 maoni:
Post a Comment