Rais wa Nigeria ameonya kuwa matokeo
yanaweza kuwa mabaya kwa Afrika iwapo wapiganaji wa Kiislamu hawataondoshwa
kaskazini mwa Mali.
Rais Goodluck Jonathan alisema
Nigeria inataka kikosi cha jeshi kipelekwe huko haraka.
Alisema wapiganaji wamelifanya eneo
kubwa la Mali kuwa halina sheria.
Rais huyo haliyasema hayo kwenye
mkutano wa ECOWAS mjini Abuja.

0 maoni:
Post a Comment