MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
MACHINGA COMPLEX HAIUZWI
Wafanya biashara ndogondogo katika jingo lamachinga
Complex jijini Dar es salaam wametakiwa kuendelea
Na sghuli zao kwa utulivu na amani kutokuwepo kwa mpango
Wowote wa kupiga mnada jingo hilo.

Haya yamesemwa na mwenyekiti wa bodi ya ushauri wa DSM,
Bw-Godwini mbanga wakati akizungumza na waandishi wa habari
Juu ya  kukanusha tuhuma hiyo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment