.
OPERESHENI
DHIDI YA WAPIGANAJI”SINAI
Maafisa
wa usalama nchini misri,wamewaua
wapiganaji
kumi na moja tangu kuanzisha operesheni
kali dhidi ya wapiganaji haorasi ya Sinai,mapema
mwenzi huu.
Hii kwa mujibu wa taarifa za wizara ya ulinzi
nchini misri.
Operesheni
hiyo ilianzwa baada ya kuuawa kwa warinzi
kumi na sita wa mpakani katika shambulizi
lililofanya
tarehe tano mwenzi huu, pia imewezesa
kukamatwa
kwa
washukiwa 23 na hata kunasa silaha.
Maafisa
mwengine wa ulinzi walitarajiwa kupelekwa
huko
mnamo jumatano hii kuweza kukamilisha
msako
wa washuhukiwa wa ugaidi.
0 maoni:
Post a Comment