THEO WALCOTT NABAKI HAPA HAPA.
Mchezaji wa timu ya Arsenal , theo Walcott haondoki Arsenal
Majira haya baada ya mazungumzo ya faragha na meneja wake
Wa Arsenal Arsene Wenger leo jumatano.
Inafahamika kuwa kijana huyo ametoa ahadi kwa kauli ingawa
Hajatia saini katika mkataba huo mpya wa kudumu na atatakiwa
Kufanya hivyo.

0 maoni:
Post a Comment