MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

SERIKALI YA SYRIA INATUMIA MABAVU
Rais wa misri ,mohammed morsi, ameikashifu serikali ya Syria
Na kusema kuwa inatumia mabavu.
 
Rais morsi aliyesema hayo katika hotuba yake nchini lran ambayo
Ni mshirika mkubwa wa Syria.
 
Morsi alisema kuwa ni wajubu wa kila mtu kuunga mkono upinzani
Nchini Syria ili uungane dhidi ya kile alichokitaja kama utawala wa
Kimabavu.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment