SERIKALI YASHINDWA KESI DHIDI YA COSTA MAHALU
Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam
Imemuachia huru aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchin
Italia Pro: costa Mahalu na Afisa utawala wa hubalozio huo
Grasi martin baada ya kushinda kesi iliyokuwa inamkabili
Dhidi ya serikali .
Pro: mahalu na martini walikuwa wanakabiliwa na tuhuma ya uhujumu
Uchumi na kuisababishia serikali hasara ya yuro milioni mblili .
Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo Mugeta amesema kuwa
Watuhumiwa hao wameshinda kesi hiyo kutoka na upande wa serikali
Kushindwa kusibitisha ukweli juu ya mashtaka yote 6 yaliyokuwa
Yanawakabili watuhumiwa hao.
0 maoni:
Post a Comment