Wizara ya maji kushilikiana na wizara ya Afya, wizara ya elimu
Pamoja na ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI zimesaini mkataba wa
Mradi wa kusimamia usafi wa mazingira hasa vijijini.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Naibu katibu mkuu wa
Wizara ya maji Bw, Bashiri Mrindoko, wakati wa kusaini mkataba
Huo mbele ya waandishi wa habari pamoja na wadau hao.
Bw, Mrisho amesema kuwa lengo la mradi huo ni kuhakikisha kuwa
Wanabolesha usafi wa mazingira maeneo ya mijini na vijijini , kwa
Upande wake kaimu katibu mkuu wa elimu na mafunzo ya ufundi
Selestine Gesimba, amesema kuwa mradi huo utasaidia kuboresha
Usafi wa mazingira katika mashule.
0 maoni:
Post a Comment