KANISA LA ANGLIKANA LATAKA KUWA NA RAIS
askofu mkuu wa kanisa la Anglikana, Rowan Williams
amefichua kuwa kanisa hilo linaandaa mpango wa kumteua
Raisi wa kanisa , ambaye atabeba sehemu ya jukumu la
kuongoza kanis duniani.
Alisema kuwa mtu atakayechukua nafasi hiyo ataweza kusafiri
kwa urahisi na hivo kumuacha Askofu mkuu kushughulika zaidi
na kazi za kanisa.
Dokta williams ,ambaye anastafu mwenzi wa desemba baada
ya uongozi wa miaka 10 , alikiri kuwa hakuweza kufanya mengi
kuzuiya mgawanyiko kanisani juu ya swala la uhusiano wa jinsia
moja.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment