NIGERIA YAUA WAPIGANAJI WA BOKO HARAMJeshi la nigeria limesema kuwa limewaua watu saba
wanaoshukiwa kuwa wafuasi wa kundi la Boko haram
katika mapambano kaskazini mwa nchi hiyo.
msemaji wa jeshi hilo amesema kuwa watu wengine zaidi
ya 13 wamekamatwa baada ya kushambulia kituo cha ukaguzi cha jeshi, katika mji wa Miduguri.
Ghasia hizo zimetokea siku moja baada ya polisi wa nigeria
kusema kuwa wataanza kulinda kutwa kucha , milingoti ya simu za mkononi kufuatia milingoti kadhaa kama hiyo kushambuliwa mwenzi uliopita kaskazini mwa nchi hiyo.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment