MCHAKATO WA KUMCHAGUA RAIS MPYA SOMALIA.wabunge 257 wa bunge jipya la somalia wanapiga
kura kumchagua rais mpya wa taifa hilo.
shughuli ya upigaji kura ilichelewa kwa sababu ya
kikosi cha umoja wa mataifa kilikuwa kinawachunguza
wabunge katika ukumbi wa zoezi hilo.
wagombea 24 wanawania nafasi hiyo ya urais akiwemo
rais anayeondoka Sheikh Sharif ,shekh Ahmad na waziri mkuu Adbiwel Mohamed.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment