MAANDAMANO KUPIGA MAUAJI YA MWANAHABARI LEOwaandishi wa habari nchin leo wanatarajia kufanya
maandamano kupinga mauaji yaliyofanywa na baadhi ya
polisi kumuua aliyekuwa mwandishi wa kituo cha channel
ten mkoani morogoro hivi karibuni.
waandishi hao wamesema kuwa maandamano hayo
yanalengo la kuitaka serikali kujua umuhimu wa kuwepo
kwa wanahabari nchini na kuwa na uhuru wa vyombo vya habari.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment