JAMII YA KIMATAIFA YAPOGEZA SOMALIA
viongozi wa kimataifa akiwemo waziri mkuu wa Uingereza
David Cameron , wameipogeza uchaguzi wa Rais mpya wa
Somalia Hassan Sheikh Mohamud, kama hatua muhimu kwa
Somalia.
Bwana Cameron amempogeza Sheikh kwa ushindi wake na vile
vile kumsifu Rais anayeondoka Sheikh Sharif Ahmed kwa uongozi wake.
hati hiyo wapiganaji wa kiislamu wa Al shabaab wameutaja uchaguzi
huo kuwa uliandaliwa na ,aadadui wa somalia.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment