MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
UBALOZI WA MAREKANI WATEKETEZWA LIBYA
Afisa mmoja wa marekani ameuawa na wengine
wamejeruhiwa wakati kundi la watu waliojiamini
na silaha walipovamia jengo hilo mjini Benghazi.
inaaminika kuwa watu hao walikuwa wanaandamana kulaani filmu moja iliyotengenezwa nchini Marekani ambayo wanasema inamkejeli mtume Mohammed.
Jengo hilo liliteketezwa kabisa na waandamanaji
hao waliokuwa na hasira.

pia maandamano sawa na hayo yamejitokeza mjini
Cairo nchini Misri, kundi lingine la watu limeingia kwenye ubalozi wa marekani na kutekeza bendera ya nchi hiyo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment