NJAMA YA MASHAMBULIZI YATIBULIWA KENYA.
Olisi nchini Kenya wameyanasa magwanda yenye
mabomu
Ya kujilpua pamoja na zana zengine ambazo zilikuwa zitumuke
Kwa mashambulizi ya kigaidi mjini Nairobi.
Washukiwa wawili wamekamatwa katika msako huo
uliofanyika
Asubui ya leo katika mtaa wa Eastleigh mjini Nairobi.
Msemaji wa polisi nchni Kenya Eric kiraithe anasema kuwa –
Magurunet kumi na mbili pamoja na bunduki aina ya AK
47 pia
Zilinaswa wakati wa msako uliofanywa na polisi mtaani
humo.
0 maoni:
Post a Comment