MAANDAMANO YAZIDI KUPAMBA MOTO HADI SUDAN
waisilam walioghazibishwa na filamu inayodhihaki dini ya
kiisilamu wameshambulia ubalozi wa Uingereza na Ujerumani
mjini Khartoum, Sudan.
waandamanaji walianza kwa kuchoma moto na kisha kuichanachana
bendera ya Ujerumani na kuweka bongo lenye maandiko ya kiisilam
ambapo bendera hiyo ilikuwa.
maandamano yanaendelea katika nchi za Mashariki ya kati na Kaskazini mwa Afrika kuilaani filamu hiyo ya Marekani inayomkejeli mtume Muhammad.
mjini Cairo .polisi waliwatimulia Gesi ya kutoa machozi na kuwatawanya waandamanaji takribani 500, kutoka kwenye Ubarozi wa Marekani.
maandano hayo yalifanyika katika mji mkuu wa Yemeni, SANAA
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 maoni:
Post a Comment