ametawazwa rasmi kwenye sherehe iliyofanywa mjini
Mogadishu.
kiogozi huyo mpya ambaye alinusurika na jaribio la
kumuuwa siku ya jumatano, alisema mambo muhimu
kwake ni usalama na mapatano.
viongozi kadha wa kanda walihudhuria sherehe hiyo
pamoja na waziri mkuu mpya wa Ethiopia, Hailemariam
Desalegn, na Rais wa Djibouti, Ismail Omar Guelleh

0 maoni:
Post a Comment