WAUWAJI WA BALOZI WAKAMATWA LIBYA.
mkuu wa bunge la libya anasema kuwa watu kama 50 wamekamatwa kwa kuusika na mauaji ya balozi wa Marekani mjini Benghazi ma lilopita .
Mohaed Megaryef, kiongozi wa bunge, alisema hakuna shaka kuwa shambulio hilo lilikuwa limepangwa na siyo tu lakulipiza kisasi kwa filamu ya marekani iliyokejeli Uisilamu.
akizungumza na shilika la habari la Canada CBS ,Bwana Megaryef alisema anaamini wageni wenye uhusiano na AL-Qaeda waliohusika.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment