TFDA YATAKA WATUMISHI ZAIDI.mamlaka ya chakula na dawa [TFDA] imemuomba waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dk, Hussein mwinyi kuiongezea idadi ya watumishi kwa kuwa waliopo sasa hawatoshi.
wito huo umetolewa jijini Dar es salaam na mkurugenzi mtendaji wa mamlaka hiyo hadi sasa inao watumishi 185 wakati mpango kazi wa TFDA unaeleza kuna watumishi 354,
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment