MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
MSANI MUINGEREZA AMEPEWA DHAMANA.
NCHINI UGANDA.

msanii muingereza David Cecil Aliyekamatwa nchini Uganda ameachiliwa kwa dhamana, Cecil alizuiliwa kwa kutunga mchezo wa kuigiza kuusu maisha ya wapenzi wa jinsia moja nchini Uganda.
alikamatwa kwa kukaidi sheria za nchi kwa sababu mchezo huo wa kuigiza kwa jina la The River and Mountain, ulichezwa bila idhini.
Bwana Cecil anaweza kufungwa miaka miwili gerezani ikiwa atapatikana na hatia.
Bunge la uganda linajadili kutunga sheria ambayo italenga kudhibiti maswala yoyote kuusiana na mapenzi ya jinsia moja.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment