WALIMU KENYA WAANZA MGOMO
Maelfu ya walimu nchini Kenya wameanza mgomo
wakidai
Maslahi yao zaidi ambao umeathiri shule nyingi
za msingi
Nchini humo.
Walimu hao wamedharau amri ya mahakama ambayo
ilibatilisha
Mgomom huo kwamba sio halali.
Shule nyingi zilizotembelewa na waandishi wa
habari mjini Nairobi
Na Mombasa zilikuwa zimefungwa.
0 maoni:
Post a Comment