ZENAWI KUJENGEWA MAKUMBUSHO.
Ethiopia imetangaza itajenga kaburi la
makumbusho ili kuenzi
Wa nchi hiyo marehemu males Zenawi aliyezikwa
jumapili iliyopita.
Kaimu waziri mkuu Hailemariam Desalegn amesema
kaburi hilo la
Makumbusho litajumuhisha maktaba na maonesho ya
maisha ya Meles Zenawi
Pamoja na mafanikio yake
0 maoni:
Post a Comment