KURA ZA UCHAGUZI WA ANGOLA ZAISABIWAingawa kulikuwa na mvutano hapo hawari lakin upigaji kura
wenyewe wa ijumaa unaonyesha ulikwenda vema.
huu ni uchaguzi wa pili tangu kumalizika kwa vita virefu vya
wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
hata hivyo kulikuwa na malalamiko kwamba kumeonekana
ulalamishi , huku baadhi ya wapigaji kura walikataliwa kupiga
kura kwa sababu majina yao hayakuwemo kwenye daftari la
kupigia kura.
rais Jose Eduardo dos santos, ambaye amekuwa madarakani
kwa zaidi ya miaka 30, anatarajia chama chake kitashinda na
hivyo kitamuwezesha kumpa muhula mwengine wa uongozi nchini
humo.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment