mshambuliaji wa kujitoa mhanga ameuawa katka shambulizi la bomu
ambalo limetokea mjini Mogadishu na kuwaua watu 14.
shambulizi hilo limetokea karibu na mgahawa mmoja mjini Mogadishu
walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa watu kadhaa wamwjeruhiwa.
Hadi sasa hakuna kundi lolote limeelezea kuusika na kufanya shambulizi hilo.
0 maoni:
Post a Comment