MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
WANAFUNZI WAZUA VURUGU KENYA

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi kenya wameandamana wakiitaka serikali kutatua mzozo wa mishahara ya wahadhiri wa vyuo vikuu nchini humo.
Hatua ya wahadhiri hao kugoma kwa wiki tatu imezitatiza shughuli nyingi ikiwa ni pamoja na kuwadhuia wanafunzi hao kufanya mitihani yao.
Polisi waliwatawanya wanafunzi hao waliokusanyika mjini kwa kutumia gesi ya kutoa machozi.
mapema leo serikali iliahidi kuwalipa wahadhiri hao shilingi za kenya bilioni 7.8 ili waweze kurejea kazini jumatatu wiki hijayo.
hata hivyo malipo hayo yatalipwa kwa awamu mbili kuanzia januari mwakani
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment