MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
ASHATAKIWA KWA KUKOSOA SERIKALI BURMA.

Mchapishaji na mhariri wa gazeti moja binafsi nchini
Burma amefunguliwa mashtaka ya kuidhalilisha serikali
baada ya kuchapisha habari zinazofichua tuhuma za rushwa
katika serikali ya nchi hiyo.
Wizara ya madini ya Barma imechukua hatua hiyo baada ya
Gazeti hilo la The Voice Weekly kuandika shutuma za ukiukwaji
katika masuala ya taratibu za fedha mapema mwaka huu.
Hivi karibuni serikali ya kijeshi ya nchi hiyo imekuwa ikijaribu
kulegeza vikwazo vya vyombo vya Habari ambavyo vinaonekana
kuwa nimiongono mwa vyombo vya habari vinavyokandamizwa sana
duniani.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment