MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
WAASI WATAWALA KIMABAVU DRC.

mkuu wa harakati za kudumisha amani wa Umoja wa mataifa Herve Ladsous ameliabia baraza la usalama la Umoja huo kwamba waasi
kile amnachokiita kuwa ni utawala wa kimabavu Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasia ya congo.
Bwana Herve amesema kuwa waasi hao wa M23 wanadhibiti idadi kubwa ya maeneo ya Mashariki mwa Congo na wanawatoza kodi wananchi.
Umoja wa mataifa unaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi hao
wa M23 wakati huo huo maafisa wa Congo wanataka Rwanda iwekewe vikwazo ya Biashara ya madini.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment