BOKO HARAM WAFANYA MAUAJI.
Maaafisa wa utawala nchini Nigeria wamesema kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram wamemuua mwanasheria mkuu wa jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria, Zanna malam Gana.
watu waliojihami pia walipiga risasi na kumuua aliyekuwa mkuu wa magerza Ibrahim Jarmam katika jimbo jirani la Bauchi.
mnamo siku ya jumatatu, polisi walithibitisha kumuua afisa mkuu wa kundi hilo ambaye anaaminika kuwa msemaji mkuu.
kundi la Boko Haram limethibitiswa kufanya mauaji mara kwa mara mwa nchi ambapo mamia ya watu wameuawa.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment