MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
AL-SHABAAB WAANZA KUTOROKA KISMAYO.

wenyeji mjini Kismayo nchini Somalia, wapiganaji wa Al shabaab wameanza kuondoka katika ngome yao ya mwisho ya KISMAYO.
Kismayo ndiyo ngome kubwa na ya mwisho ya kundi hilo linalopigana na jeshi la Somalia ambalo limekuwa likiuzigira mji huo kwa usaidizi wa jeshi la AU.
Wenyeji wamesema kuwa wapiganaji hao wamekuwa wakitoroka mji huo kwa mabasi huku wakibeba silaha nzito.
lakini Al shabaab wamekana taarifa hiyo wakisema kuwa wameweza kuwashinda nguvu wanajeshi wa AU.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment