Kikosi cha Taifa Stars, kinatalajia kudongoka katika
nyasi hapo kesho huko nchini Uganda,na wenyeji wao Uganda, katika mchezo wa
kuwania tiketi ya kwenda nchini Afrika Kusini {CHANI}
Mikakati ya Taifa Stars, ni kushambulia kwa kipindi
chote cha mchezo huo, hayo yameemwa na kocha wa kikosi hicho Kim Poulsen
.
Kocha wa stars amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa
wakijifunza kutokana na makosa ya mchezo uliopita walipokutana na timu hiyo ya
Uganda, hivyo wachezaji wake watashambulia kipindi chote cha mchezo huo.
|
0 maoni:
Post a Comment