MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

ANDY MURRAY, AMESHINDWA KUENDELEA NA MICHUANO.



 
Mcheza Tennis Andy Murray, ambaye ni Bingwa mashindano ya Wimbledon, ametolewa nje ya mashindano katika raund ya nne ya Tennis ya BNP, Paribas yanayoendelea mjini Indiana Wells, Carlifonia........


Ametolewa na Milos Raonic, kwa seti 3-1, mchezaji huyo ameorozeshwa katika wachezaji 10 bora wa mchezo huo mara baada ya kumtoa  Andy.

Raonic, kutoka Canada mwenye umri wa miaka 23, amefuzu kwa robo fainali ya mashindano kufuatia ushinda wake wa seti tatu kwa moja za 4-6 7-5 6-3.
 
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment