Maafisa nchini Malaysia
wamefichua kwamba wanadhani rubani mwenza katika ndege ya Malaysia
iliyotoweka ndiye aliyezungumza maneno ya mwisho kabla ndege hiyo kutoweka..........
Maneno hayo bado hayajabainika lakini yanasikika kama -- all right, au goodnight -- ''Kila kitu ki shwari au muwe na usiku mwema'', kabla ya vifaa vinavyowezesha ndege kutambulika katika mtambo wa rader kuzimwa.
Wachunguzi wanaangalia uwezekano kuwa huenda marubani walihusika katika tukio hilo.
0 maoni:
Post a Comment