Mshambulizi wa Manchester
United Robin van Persie amesema kuwa yuko tayari kuongeza muda wa mkataba wake........
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka thelathini amekuwa
akihusishwa na madai ya kutaka kukihama klabu hiyo kwa kuwa hana uhusiano mwema
na kocha wa David Moyes na kumekuwa na fununu kuwa huenda akaondoka mwishoni
mwa wa msimu huu.
Lakini mchezaji huyo kutoka Uholanzi amesema kuwa
anaridhika kucheza chini ya Moyes.
0 maoni:
Post a Comment