MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MKIMBIA RIADHA WA NCHINI UINGEREZA , FARAH, ATETEA UAMUZI WAKE.



 
Mwanariadha wa Uingereza, mzaliwa wa Somalia Mo Farah, amekariri kuwa alifanya uamuzi bora kushiriki katika mashindano kadhaa ya barabarani kabla ya kushiriki katika mbio za London Marathon mwezi ujao........


Farah atakimbia mbio za kilomita Ishirini na moja mjini New York, marekani Jumapili Hii
 
Gebrselassie alikuwa amesema ni mapema sana kwa Farah mwenye umri wa miaka 30 kushiriki katika mbio hizo za marathon, na badala yake kutoa ushauri kwake kuipa mashindano ya uwanjani nafasi ya kwanza.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment