Inasemekana kuwa Wema Sepetu, alikinukisha katika
studio moja hapa Town mara alipopata taarifa kuwa Diamond na Victoria wa nchini
Kenya, wapo studio bila ya Diamond kumuaga mpenzi wake” Wema”.
Yadaiwa kuwa kulitokea bonge la Tifu katika studio
hizo.
0 maoni:
Post a Comment