WEMA, ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest
Girls, katika shindano hilo lilikuwa na washiriki kama vile Elizabeth Michael
‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani ya
Dar Live.
Na hizi ndio picha za tukio zima, embu tumia dakika
zako chache kuzitazama......
Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu akipozi katika red carpet ndani ya Dar Live |
0 maoni:
Post a Comment