DIAMOND PLATNUMZ / OMMY DIMPOZ "TUZO ZA BET AWARDS ZIMEJAA UBAGUZI WA KIMATAIFA"
Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’.................
Miongoni mwa waliotoa yao ya moyoni ya kutofurahishwa na utolewaji huu wa tuzo ya Afrika kivyake na kutojumuishwa na zile za wasanii wa Marekani ni msanii Ommy Dimpoz
Kutoka kwa Millardayo
0 maoni:
Post a Comment