Davido kutoka nchini Naija, azidi kuzipanga tuzo za
kimataifa na sasa ni hii ya BET, kuchukuliwa na msanii huyo huyo, ingawaje ilikuwa
ni siku nzuri kwa watanzania kufunguliwa njia na msanii Diamond Platnumz lakini
alishindwa kuchukua tuzo hiyo kwa sapoti ndogo kutoka Tanzania...............
Tuzo hii ilikua inawaniwa na Diamond Platnumz kutoka
Tanzania, Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana, Tiwa Savage wa Nigeria
na Toofan wa Togo.
0 maoni:
Post a Comment