Msanii wa muziki nchini Marekani, Justin Bieber,
amewashangaza mashabiki wake baada ya kuwa na vituko vya kuweka Picha za nusu
Uchi mtandaoni.............
Mashabiki wake wameduwazwa na kitendo cha msanii huyo
kufuatia tabia yake ya kupost picha zinazomuonesha akiwa nusu Uchi.
Hatuwezi kuziweka picha za utupu ndani ya mtandao wetu, unatazamwa na watu wengi pia tuzingatia ethics
0 maoni:
Post a Comment