Msanii na mmiliki wa Top Band, T I D, A mefunguka kwa
matusi kufuatia kile alichoombwa na Ray C, kuwa watafutane wazungumze..............
TID, Ambaye anadaiwa kuwa kati ya wasanii wanaotumia
madawa ya kulevya hapa nchini, inasadikika kuwa huenda alijua kuwa mdada huyo
anatamuitaji kuachana na mambo yake, kitu kilichopelekea kufunguka na matusi.
Hata hivyo mashabiki walioandika comments zao walimshambulia tena TID kutokana na kile alichomjibu Ray C ambaye hakutaja kabisa nia ya kutaka kuzungumza na Mnyama TID.
0 maoni:
Post a Comment