DJ Khaled, ambaye ni msanii na Dj, nchini Marekani,
ameamua kujiingiza katika biashara ya kuuza Headphones zake zenye jina la “We
the Best Sound” biashara kama hiyo ilimfanya
Dr Dre, kuwa Bilionea baada ya kuuza kampuni yake..........
DJ huyo wa Miami
alitangaza kupitia Instagram kuwa amejiunga na Heads Audio na Bang Olufsen
kuhakikisha anatengeneza headphones bora zaidi katika soko la muziki alizozipa
jina la ‘We The Best Sound’. “Today I am proud to
announce that I have partnered with Heads Audio & Bang Olufsen to create
the best audio in the market place, We The Best Sound.”
0 maoni:
Post a Comment