Usikose kipindi cha Club Fever, jumapili hii kuanzia
saa 3 kamili usiku mpaka saa 6, usiku. Vijana wakisasa wala bata na
wanaojuastarehe ni Lady Zeyna na Young Jimy, wakati huo MWERA, atakuwa katika yao na .................
Kwenye stage sasa ya Club Fever itapewa dozi na
DARASA, KALA JEREMIAH NA CHIBOW, Wakati
Dozi ya maneno swaga za kutosha , the host maker Hancy Vipaji[the swaga presenta]
Time ni saa 3 usiku mpaka saa 6 usiku kupitia 91.7
city Fm Radio.
USIKOSE BONGE LA
INTERVIEW CITY RADIO 91.7 FM.
0 maoni:
Post a Comment