MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

ZAHANATI YA UGONJWA WA EBOLA YAVAMIWA



Watu wajikinga na ebola Liberia
Taarifa kutoka Liberia zinasema kuwa kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya ebola, kimeshambuliwa na zana kuibiwa mjini Monrovia.
Baadhi ya ripoti zinasema wagonjwa kadha wameondoka kituoni..............


Tukio hilo limejiri katika mtaa wa shughuli nyingi uitwao West Point.

Watu zaidi ya 400 wamekufa kwa sababu ya ebola nchini Liberia kati ya zaidi ya 1,000 katika kanda ya Afrika Magharibi
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment