MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

POLISI WALAUMIWA NA FAMILIA ZA WASICHANA

Jamaa za wasichana watatu raia wa Uingereza ambao walikimbia nyumbani na kujiunga na wanamgmbo wa Islamic State nchini Syria wamewashtumu vikali maafisa wa polisi kwa kushindwa kuwafahamisha moja kwa moja kabla kutoweka kwao.................


Polisi walikuwa wamepanga kuwahoji wasichana hao kuhusu rafiki yao ambaye tayari alikuwa amesafiri kwenda nchini Syria ambapo waliwaandikia barua wazazi wao kuwaomba ruhusa.

Badala ya kupeleka barua walizopewa na polisi nyumbani waliamua kuzificha.

Wachunguzi wanasisitiza kuwa hakuna dalili zilizoonyesha kuwa wasichana hao walikuwa na nia ya kusafiri kwenda nchini Syria.
kutoka BBC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment